MWENYEKITI CCM MBEYA AHIMIZA UMOJA, AWAASA WANACHAMA KUEPUKA MAKUNDI.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya Ndg. Patrick Mwalunenge amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jijini Mbeya kuungana na kuwa kitu kimoja ili kuleta maendeleao katika jiji la mbeya na Nchi kwa ujumla Mwalunenge amewataka wananchi hao kuwa na kundi moja tu ambalo ni kundi la Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mbeya. Mwalunenge […]
MWENYEKITI CCM MBEYA AHIMIZA UMOJA, AWAASA WANACHAMA KUEPUKA MAKUNDI. Read More »