UGAWAJI WA VIFAA TIBA VITUO VITATU VYA AFYA JIMBONI KILOLO.

Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan kupitia Bohari ya dawa (MSD Medical Store Department) imemkabidhi Mbunge wa Kilolo Mhe. Justin Lazaro Nyamoga vifaa tiba kwa ajili ya vituo vitatu vya Afya vya Ruahambuyuni, Ilula na Nyalumbu vyenye thamani ya zaidi ya TZS Milioni 600. […]

UGAWAJI WA VIFAA TIBA VITUO VITATU VYA AFYA JIMBONI KILOLO. Read More ยป