SHIRIKA LA DSW LIMEGAWA VIFAA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL.27 SHULE ZA MBEYA

Shirika la lisilo la kiserikali Duestche Stiftung Weltbevolkelung (DSW) lime gawa vifaa mbali mbali vya Michezo,vipaza sauti,na Televisheni vyenye thamni ya Zaidi ya Milioni 27 Kwa shule za Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Akizungumza wakati wakati wa ugawaji wa vifaa hivyo mkurugenzi wa shirika hilo Ndugu. Peter Waga amesema lengo la kugawa vifaa hivyo ni kuunganisha nguvu pamoja na Serikali Ili kudhibiti vitendo vya ukatili vinavyofanyika kwa wanafunzi wawapo shuleni ama nyumbani amesema ukatili umekuwa ukishamiri sana kwa vijana kitu kicho pelekea taifa kuendelea kuwa na umasikini huku kukiwa na  matukio ya kutisha ya mara kwa mara ameongeza kwa kusema kwa kutambua hilio shirika kwa kushirikiana na wadau pamoja na serikali wtaenda kuanzisha madawati ya jinsia na Clubs mbvali mbali katika shule katika shule hizo ili wanafunzi waweze kuelimishana na kupeana namna nzuri ya kusaidiana kuripoti matukio ya ukataili pindi yanapo tokea.

mratibu wa Shirika hili kwa Mkoa wa Mbeya Mariam Abrahamu amesema shirika linatakareza mradi wa SAFA mradi amabao unampa kijana uwezo wa kutambua na kukuza kipaji,kmfungulia kijana afulsa mbali mbali ,kumtenegenezea mazingira ya kupata elimu ya afya,kupinga ukatili na uzalishaji mali na uchumu wa kujitegemea amesema kiptia mradi huu shirika linatekeleza katika mikoa ya Mbeya,Songwe,Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kwakuysema mradi huu unatarajiwa kuendeshwa kwa miaka minne yaani 2024-2027 amesema shirika limekuwa likishiorikiana kwa ukaribu sana na Wizara ya maendeleo ya jamii,Maafisa ustawi,Mahakimu,Dawati la jinsia,Jeshi la Polisi pamoja na waandisghi wa habari ili kuhakikisha mradi huu unatekelezwa kwa weledi mkubwa.

Polisi dawati la Jinsia Mkoa wa Mbeya kamanda Loveness Mkama vitendo vya ukatili vinaweza kusababisha na madhara mengine pia ikiwa ni pamoja na tataizo la afaya ya akaili eidha wa kimwili au kihisia lakini vilele matukio kama haya yanapelekea pia uzalishaji kwa ngazi ya familia kushuka kwa sabaabu hakuna mzazi atakuwa tayali kwenda kazini ikiwa mtoto wake amelawitiwa ama kubakwa (Amefanyiwa ukatili) amewataka watoto kuwa wawazi pindi wanapo fanyiwa vitendo vya ukatili kwa kuripoti sehemu mbalimbali za mamalaka ili waweze kusaidiwa na hatua za kisheria zichukuliwe aidha amewataka wazazi kujenga mazingira rafiki kwa watoto wao ili waweze kufikishiwa changamoto zao pindi wanapo kumbana nazo.

Baadhi ya vifaa vilivyo tolewa na shirika TV,Mipira,vipaza sauti,Jezi

Aidha kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Usongwe iliyopo wilaya ya Mbeya Mwalimyu Grolia Mtega amesema shukrani za dhati ziwaendee Shirika la DSW kwa kutambua na kuona kwamba vitendo vya ukatili vipo katika shule zetu lakini pia ameshukuru kwa vifaa hivyo vilivyotelewa akisema kwamba vitaenda kuwa saidia sana wanafunzi wawapo shuleni na mtaani pia kwani watatumia vifaa hivtyo ili kujifunza njia mzuri za kuzuia ukatili shuleni na kuvitumi9a kwaajiri ya michezo mbali mbalui ili waweze kukuza vipaji vyao.

Akiwa wakirisha wanafunzi wenzake Raymond Kwaka amabaye ni mwanfunzi wa kiadato cha Tatu ameshuru namna serkali wadau na mashirika yasiyo ya kiserikali namna yanavyio endelea kushirikiana kupamna na matendo ya ukatyili kwa wanafunzi wawapo shuleni na kuahidi kwamba bvifaa vilivyotolewa watavitunza na ili vikuze zaidi viapaji vyao.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *