ELIMU ILIVYO ONGEZA TAKWIMU ZA MATUKIO YA UKATILI ARUSHA
Kwa mujibu wa takwimu za utafiti wa masuala ya ukatili wa kijinsia za mwaka 2022/23 zinaonesha kwamba bado ziko juu sana katika Mkoa wa Arusha kutokana na kuwa na idadi kubwa ya ripoti za matukio ya ukatili. Je, hii inamaana kwamba Elimu imeifikia jamii sawa sawa Ama Elimu haijawafikia sawa sawa wananchi? Bwn. Denis Mgiye […]
ELIMU ILIVYO ONGEZA TAKWIMU ZA MATUKIO YA UKATILI ARUSHA Read More »