Uncategorized

RC MAKONDA APIGA MARUFUKU HOSPITALI KUZUIA MAITI NDANI YA MKOA WA ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda, amepiga marufuku hospitali za Mkoa wa Arusha kuzuia maiti kutokana na gharama za matibabu na badala yake zibuni njia mbadala za kudai malipo hayo. RC Makonda ametoa katazo alipofanya ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Monduli kukagua maendeleo ya Ujenzi wa jengo la mionzi na la upasuaji […]

RC MAKONDA APIGA MARUFUKU HOSPITALI KUZUIA MAITI NDANI YA MKOA WA ARUSHA Read More »

TGDC YA WASIHI WANANCHI KUTUMIA JOTOARDHI KUKABILANA NA MADILIKO YA TABIANCHI.

Kampuni ya Uendelezaji jotoardhi Tanzania TGDC imewasihi wananchi kutumia vyema nishati hiyo ili kukabiliana na madadiliko ya tabianchi yanayoendelea kuzikumba Nchi mbali mbali ulimwenguni.Hayo yamesemwa katika siku ya ufunguzi wa maonesho ya Mbeya Expro 2024 yaliyofanyiaka katika viwanja vya Uhindini jijini Mbeya ambapo yanatarajiwa kufanyika kwa siku Nane kilele chake kikitarajiwa kuwa 30. Mei.Mwaka huu.

TGDC YA WASIHI WANANCHI KUTUMIA JOTOARDHI KUKABILANA NA MADILIKO YA TABIANCHI. Read More »

Mafuriko Kenya: KHRC yawashtaki mawaziri watatu kwa uzembe

Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya (KHRC) imethibitisha siku ya Ijumaa kuwa imewashitaki maafisa watatu wa serikali kwa uzembe na kushindwa kuwalinda waathirika wa mafuriko nchini humo. Kelly Malenya, wakili wa KHRC, ameliambia shirika la habari la Ujerumani dpa kwamba waliwasilisha kesi hiyo mahakamani siku ya Ijumaa na kwamba wamewashtaki Kithure Kindiki Waziri wa

Mafuriko Kenya: KHRC yawashtaki mawaziri watatu kwa uzembe Read More »

DKT. MWINYI NA MAKONDA KWENYE SEMINA YAWANAHISA WA CRDB

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Abdulmajid Nsekela wamewasili kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa Mjini Arusha AICC kuhudhuria semina ya wanahisa wa Benki ya CRDB. Semina hii

DKT. MWINYI NA MAKONDA KWENYE SEMINA YAWANAHISA WA CRDB Read More »

TENGENI MAENEO YA MICHEZO- WAZIRI MKUU TANZANIA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Khasim Majaliwa Majaliwa amewataka wakuu wa Mikoa kote Nchini kuwaagiza wakuu wa Wilaya zote kutenga maeneo ya wazi Kwaajiri ya wananchi na Wanamichezo kufanyia mazoezi. Ameyasema hayo Mei 11siku ya kilele cha mbio za Mbeya Tulia Marathon zilizofanyika katika Uwanja wa kumbukumbu Sokoine Jijini Mbeya. Aidha

TENGENI MAENEO YA MICHEZO- WAZIRI MKUU TANZANIA Read More »

UIMALISHAJI MIFUMO YA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA WAJA NA NEEMA KWA VIJANA ARUSHA.

Ajenda mbali mbali zilizo jadiriwa katika Kikao cha kuimarisha Mifumo ya Kuzuia ukatili wa kijinsia kwenda kuwanufaisha Vijana lika na vijana balehe walioko ndani ya mfumo wa shule na walioko Nje ya mfumo rasmi wa shule Mkoani Arusha.Kikao hicho kimefanyika Aprili,30 Mwaka huu katika Ofisi za Taasisi ya Dustche Sturning Weltebevolkeburg (DSW) zilizoko Wilaya ya

UIMALISHAJI MIFUMO YA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA WAJA NA NEEMA KWA VIJANA ARUSHA. Read More »

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII YAZITAJA NGUZO 5 ZA AJENDA YA NAIA.

Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia , wanawake na makundi maalum imebainisha Nguzo kuu 5 za Ajenda jumuishi iliyoandaliwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa huduma rafiki za afya na kuondoa vikwazo vya maendeleo kwa vijana balehe nchini wenye miaka 10 – 19 Tafiti zinaonesha vijana balehe wanakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo maambukizi makubwa ya VVU, mimba

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII YAZITAJA NGUZO 5 ZA AJENDA YA NAIA. Read More »

MADAWATI YA JINSIA YUNDWA SHULENI KUKOMESHA UKATILI.

Kufuatia ongezeko la vitendo vya ukatili kushamili zaidi shuleni serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekutana jijini mbeya ili kuboresha mifumo ya kukupinga ukatili ikiwa ni pamoja na kuunda madawati ya jinsia katika shule za jiji hilo ili kukomesha ongezeko kubwa la vitendo hivyo kwa wanafunzi na kuwafanya waweze kutimiza ama kuzifikia ndaoto zao kwa

MADAWATI YA JINSIA YUNDWA SHULENI KUKOMESHA UKATILI. Read More »