SHIRIKA LA DSW LIMEGAWA VIFAA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL.27 SHULE ZA MBEYA

Shirika la lisilo la kiserikali Duestche Stiftung Weltbevolkelung (DSW) lime gawa vifaa mbali mbali vya Michezo,vipaza sauti,na Televisheni vyenye thamni ya Zaidi ya Milioni 27 Kwa shule za Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. Akizungumza wakati wakati wa ugawaji wa vifaa hivyo mkurugenzi wa shirika hilo Ndugu. Peter Waga amesema lengo la […]

SHIRIKA LA DSW LIMEGAWA VIFAA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL.27 SHULE ZA MBEYA Read More »

JUKWAA LA WANAWAKE WA VIJIJINI WAPAZA SAUTI MWANAMKE KUTOMILIKI ARDHI.

Jukwaa lawanawake wa vijijini (RWA) wamepaza sauti kwa jamii na wadau kuwasaidia wanawake wa vijijini wananvyo nyimwa nafasi ya kumiliki Ardhi kitendo ambacho ni kinyume na haki za kibinadamu,Jinsia na Usawa.Akizungumza wakati wa kuandaa mpango kazi wa uzinduzi wa kampeni ya MWANAMKE KUPEWA NAFASI YA UMILIKI ARDHI Mkurugenzi wa shirika la (MIICO) Bi. Catherine Mulaga

JUKWAA LA WANAWAKE WA VIJIJINI WAPAZA SAUTI MWANAMKE KUTOMILIKI ARDHI. Read More »

ASILI YA VALENTINE’s DAY

Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine’s Day).Historia yake imeanzia karne ya 3 huko Roma ambapo alikuwapo Padri Valentine ambaye akaja kuheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe hiyo.Hadithi zilizosababisha sikukuu kuenea zaidi duniani kote. Kwa mujibu wa mtandao wa history.com umeeleza kuwa kiongozi (Kaisari) wa kipindi hicho

ASILI YA VALENTINE’s DAY Read More »

SERIKALI KUWEKEZA KIDIJITALI KUWAFIKIA WALIPAKODI WENGI ZAIDI ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha mfumo wa kodi ulio rahisi kuutumia kwa kuwekeza zaidi katika mifumo ya kidijitali na kuwafikia walipa kodi wengi zaidi pamoja na kuimarisha ofisi za kodi kila Mkoa na Wilaya zake Zanzibar.Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo katika hafla ya Maadhimisho ya

SERIKALI KUWEKEZA KIDIJITALI KUWAFIKIA WALIPAKODI WENGI ZAIDI ZANZIBAR. Read More »

VIJANA 13,700 JIJINI MBEYA KUNUFAIKA NA MRADI WA “SAFA”.

Taasisi ya Deutsche Stiftung Weltbevolkerung (DSW) Kwa kishitikiana na Mashirika mengine kama KUNE na HRNS wamepanga kuwafikia vijana 13,700 katika mradi wa SAFA ambao umeshanza kutekelezwa na utatekelezwa mpaka mwakani 2024. Vijana hao watanufaika na Elimu ya stadi za maisha,Elimu ya AFYA ya Uzazi Michezo na Burudani,Namna nzuri ya kupinga ukatili wa Kijinsia,kuwapa Elimu ya

VIJANA 13,700 JIJINI MBEYA KUNUFAIKA NA MRADI WA “SAFA”. Read More »

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa.

Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza Sambamba na kuonesha kazi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Maji Ludewa.Aidha, katika ziara hiyo imethibitika kuwa Wilaya ya Ludewa inaendelea kutekeleza miradi saba

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Read More »

SHIRIKA LA WAKINA MAMA NA WATOTO FOUNDATION LAWAPA MKONO WA POLE WAATHIRIKA MBOZI.

Shirika lisilo la kiserikali la WAKINA MAMA NA WATOTO FOUNDATION TANZANIA Limeguswa na kutoa mchango wa vitu mbali mbali kama Sabuni,Unga pamoja na Chumvi vitu vyenye thamani ya shilingi 384,000/= kwaajili ya kuwa saidia waathirika wa Mvua kubwa ambayo iliambatana na upepo na hivyo kusababisha kuezuliwa kwa Nyumba zaidi ya 200 na kusababisha uharibufu wa

SHIRIKA LA WAKINA MAMA NA WATOTO FOUNDATION LAWAPA MKONO WA POLE WAATHIRIKA MBOZI. Read More »