UGAWAJI WA VIFAA TIBA VITUO VITATU VYA AFYA JIMBONI KILOLO.

Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan kupitia Bohari ya dawa (MSD Medical Store Department) imemkabidhi Mbunge wa Kilolo Mhe. Justin Lazaro Nyamoga vifaa tiba kwa ajili ya vituo vitatu vya Afya vya Ruahambuyuni, Ilula na Nyalumbu vyenye thamani ya zaidi ya TZS Milioni 600. […]

UGAWAJI WA VIFAA TIBA VITUO VITATU VYA AFYA JIMBONI KILOLO. Read More »

TANESCO WAOMBA RADHI KUKOSEKANA HUDUMA YA MTANDAO WA MALIPO. (LUKU)

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wamewaomba wananchi radhi kutokana na kukosekana kwa huduma ya upatikanaji wa mtandao wa malipo na hivyo kufanya wananchi kupata kadhia na usumbufu katika malipo na wananchi kukosa huduma. Shirika limesema jitihada za kurudisha huduma hiyo zinaendelea na linawataka wananchi kuvuta subla wakati utatuzi wa changamoto ukiendelea.

TANESCO WAOMBA RADHI KUKOSEKANA HUDUMA YA MTANDAO WA MALIPO. (LUKU) Read More »

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNDP TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Bw.Shigeki Komatsubara aliyefika kujitambulisha Ikulu Zanzibar tarehe:14 Desemba 2023. Katika mazungumzo yao wamegusia uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Zanzibar na UNDP pamoja na kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo,

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNDP TANZANIA Read More »

MWENYEKITI CCM MBEYA AHIMIZA UMOJA, AWAASA WANACHAMA KUEPUKA MAKUNDI.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya Ndg. Patrick Mwalunenge amewataka wanachama  wa Chama Cha Mapinduzi Jijini Mbeya kuungana na kuwa kitu kimoja ili kuleta maendeleao katika jiji la mbeya na Nchi kwa ujumla Mwalunenge amewataka wananchi hao kuwa na kundi moja tu ambalo ni kundi la Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mbeya. Mwalunenge

MWENYEKITI CCM MBEYA AHIMIZA UMOJA, AWAASA WANACHAMA KUEPUKA MAKUNDI. Read More »

(RWA) KUJA NA MPANGO WA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI.

Jukwaa la wanawake wa Vijijini (Rural Women Assembly) linalotekeleza uinuaji uwezeshaji  wanawake na kutokomeza unyanyuasaji wa kijinsia limekuja na mpango wa kutokomeza ndoa za utotoni ilikuweza kumpa zaidi nafasi binti aweza kutimiza ndoto na malango yake na hivyo kutengeneza jamii ama taifa la watu makini na uchumi imara. RWA ni jukwaa linalo fanya kazi katika

(RWA) KUJA NA MPANGO WA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI. Read More »

TAASISI YA TULIA TRUST YATOA MSAADA WA KITI MWENDO, VENANCE ATUMA UJUMBE MZITO KWA DKT.TULIA ACKSON

Hii ni zaidi ya Upendo, mbio ya Bendera ya Upendo inayo kimbizwa na taasisi ya Tulia Trust ikibeba ujumbe wa Upendo, Mshikamano na Uwajibikaji imemfikia ndugu yetu Venance Enoss mkazi wa Kiwira wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Aidha pamoja na kupokea msaada huo Venance pamoja na wananchi wengine katika eneo la Kiwira wamemshukuru sana Dkt.

TAASISI YA TULIA TRUST YATOA MSAADA WA KITI MWENDO, VENANCE ATUMA UJUMBE MZITO KWA DKT.TULIA ACKSON Read More »

Spika Dkt. Tulia akabidhi misaada kwa waathirika wa mafuriko Hanang, Ampongeza Rais Samia.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 6 Desemba, 2023 ametembelea eneo lililoathirika kwa mafuriko na maporokoko ya tope na magogo Wilaya Hanang Mkoani Manyara na kukabidhi misaada ya bidhaa mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko hayo. Bidhaa

Spika Dkt. Tulia akabidhi misaada kwa waathirika wa mafuriko Hanang, Ampongeza Rais Samia. Read More »